Vikao vya kamati za kudumu za Bunge Tanzania vinatarajiwa kuanza juma tatu januari 15 hadi januari 27 mwaka hu mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa mkutano wa 10 wa Bunge Ulio pangwa kuanza januari30 mwaka huu.wabunge wote wametakiwa kuwa Dodoma kuanzia januari 14
Post a Comment