Serikali ya mjibu Tundu Lissu
Msemaji wa Serikali amesema kuwa Mbunge Tundu Lissu bado ni mgonjwa na yuko wodini hivyo Serikali haioni busara kulumbana naye kwa sasa,badala yake inaendelea kumuombea dua apone haraka na kurejea katika majukumu yake ya kulijenga Taifa
Leo Mh.Tundu Lissu akiwa Hospitali ya Nairobi amezungumza na wananchi na kuituhumu Serikali ya awamu ya tano kuwahusika na tukio la kushambuliwa kwake kwa kupigwa risas(attemted political assassination).
----

Post a Comment