LIGU KUU VPL MZUNGUKO WA 12 KUENDELEA KESHO

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) mzunguko wa 12  inaendelea kesho Ijumaa Desemba 29, 2017 na wikiendi baada ya kusimama kwa wiki tatu kupisha michuano ya Chalenji ya CECAFA iliyofanyika nchini Kenya pamoja na mechi za raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC).

No comments