Daraja laua watu 10
Watu kumi na
mmoja wamefariki dunia baada ya daraja lililokuwa likijengwa katika maeneo ya
Chirajara kuporomoka nchini Colombia.
Maofisa wa Colombia wamesema watu waliofariki ni wafanyakazi wa Kampuni ya ujenzi ambao walikuwa kazini.
Maofisa hao
wamesema wafanyakazi hao walikuwa wakishughulika na mfumo wa maji kwenye daraja
wakati walipokutwa na umauti kwenye mradi huo uliopo kilomita 95 nje ya Gogota.
Taarifa zaidi
zinasema watu tisa walifariki papohapo na mtu wa kumi baada ya kupelekwa katika
hospitali ya karibu akiwa na majeraha makubwa.
Post a Comment