Rais Magufuli amtembelea mzee Kingunge

Rais Magufuli leo ameenda kumjulia hali mwanasiasa mkongwe nchini mzee Kingunge Ngombale Mwiru, katika wodi ya Mwaisela, Muhimbili. Mzee Kingunge amelazwa hospitalini hapo baada ya kushambuliwa na mbwa nyumbani kwake
Rais magufuli akisalimiana na mzee Kingunge Ngombele katika wodi ya Mwaisela Muhimbili jijin Dar es salaam.


No comments