Tanziaaaa
Mke wa mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, Peras
Kingunge amefariki dunia leo Alhamisi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Mtoto wa Kingunge, Kinje Ngombale amethibitisha taarifa hizo na
kwamba kifo cha mama yake kimetokea wakati baba yake pia ni mgonjwa.
"Ni kweli mama amefariki na baba amelala kwa sababu ndio
kwanza ametoka chumba cha upasuaji aling'atwa na mbwa. Tutamwambia
akiamka," amesema
Post a Comment